Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» »Unlabelled » HOT NEWS!! HII NDIYO HATMA YA MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU ALIYELALAMIKIWA KUHUSU UMRI WAKE,LUNDENGA AWEKA MAMBO HADHARANI HIVI PUNDE!!!

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPH7ieI6L8AZgQ2K-XoK0PZ1VWQO1f43B_5mkzv2tm_Km0q_EC1gLv18O9jnngKrECt50aUTXcDuaJXn_loTxSIXY2PqCKJC0aEWR-9F3BxvFTi2RIfl1a7Belt5oN3MnSd3erxLi4qKAd/s1600/DSC_0966.JPG
Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiongea na waandishi wa 
habari juu ya sakata la umri halali wa Mrembo aliyetwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Mtemvu (kushoto).

Kamati ya Miss Tanzani imesema kuwa haiwezi kumvua taji Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kwa kuwa ni Miss halali na mwenye vigezo vyote vilivyotakiwa.
 Akifafanua kuhusu suala la umri, mratibu wa mashindano hayo Hashim Lundenga amesema kuwa cheti halali walichonacho wao ni kile kinachoonesha Sitti Mtemvu kazaliwa 24 mei 1991 na si vinginevyo.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPH7ieI6L8AZgQ2K-XoK0PZ1VWQO1f43B_5mkzv2tm_Km0q_EC1gLv18O9jnngKrECt50aUTXcDuaJXn_loTxSIXY2PqCKJC0aEWR-9F3BxvFTi2RIfl1a7Belt5oN3MnSd3erxLi4qKAd/s1600/DSC_0966.JPG


Kuhusu suala la passport na leseni zilizosambaa kwenye mitandao ya jamii zikionesha amezaliwa mwaka 1989, Lundenga amesema wao huwa hawangaali vitu hivyo wanachojali ni cheti cha kuzaliwa.
 Kuhusu tuhuma za unene amesema wao huwa hawaangalii wembamba wala ufupi, muhimu ni awe na vigezo vinavyotakiwa.

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply