Safia Hamis (1965) aliezaliwa wilayani Bariadi na maisha yake yalikuwa
ni kahama maeneo ya majengo kwa Museveni. Hivi si punde amekutwa akiwa
amejinyonga chumbani kwake, kwa mujibu wa maelezo ya kaka yake Rashidi
Hamisi (1961), Safia alikua anaumwa na alikua katika hali yakuuguzwa
lakini tukio la yeye kujimyonga limewashangaza sana ndugu zake na
wananchi pia ambao wamefika maeneo hayo kushudia tukio.
Baadhi ya ndugu na majirani wakiwa katika hali ya huzuni baada ya marehemu kuaga dunia
Hapo ni chumbani ambako marehemu akiwa amejinyonga
Na hapo ndio nje ya nyumba ambacho marehemu alipo aga dunia
Hakuna maoni: