Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na
Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji,
ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na nyinginezo na
upigaji wa wanawake!
In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar,
inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za
ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo (Kigodoro) kabisa
huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?
Home
»
»Unlabelled
» Mchungaji Rwakatare akemea ngoma za Vigodoro Bungeni..
Topics:
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni: