Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» »Unlabelled » Mwanamke ashambulia kambi Nigeria

Mwanamke aliyejitolea mhanga alijiripua nje ya kambi ya jeshi, kaskazini-mashariki mwa Nigeria. Wanajeshi wawili walijeruhiwa vibaya. Taarifa zinazohusiana Nigeria, Ghasia Afisa wa jeshi aliiambia BBC kwamba mwanamke huyo aliyevaa hijabu, alikaribia kambi kwa piki-piki katika jimbo la Gombe. Aliripua bomu wakati akihojiwa na wanajeshi. Mwandishi wa BBC katika eneo hilo, anasema siyo kawaida kwa mwanamke kushambulia kwa kujitolea mhanga nchini Nigeria, na jimbo la Gombe limekuwa salama kwa jumla. Hakuna kundi lilodai kufanya shambulio hilo. Lakini kundi la Waislamu la Boko Haram, limekuwa likilenga makambi ya

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply