AJARI MBAYA YA TOKEA MAENEO YA NIC BANK BARABARA YA MAMA FARIDA KAHAMA.
GARI NDOGO AINA YA TOYOTA MARK II, YENYE NAMBA ZA USAJILI T 853 BKC, IMEDONDOKA BAADA YA KUHAMA NJIA NA KUGONGA NYUMBA ,INASEMEKANA GARI HIYO ILIKUA IKIENDESHWA NA FUNDI,HATA HIVYO DREVA HUYO HAKUWEZA KUONEKANA MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAKUNA RIPOTI YOYOTE YA MAJERUHI ,KAHAMA MATUKIO TUTAKUJUZA KINACHO ENDELEA

Hakuna maoni: