
Tukio
hilo limezua gumzo miongoni mwa wanakijiji waliohudhuria tukio hilo
kwani wengi wanasema ni tukio la kwanza kutokea mtaani hapo, wengi wao
wakilihusisha na imani za kishirikina huku wengine wakidai ni miujiza tu
ya mwenyezi mungu.
Hata hivyo kimwanambuzi hicho kilifukiwa kwani tayari kilikua kimeshafariki baada ya kuzaliwa
Hakuna maoni: