Maafisa wa jeshi la Polisi wilaya ya Kahama wakiwa katika eneo la tukio katika kwaajili ya kuuchukua mwili wa Marehemu.
Inasemekana watuhumiwa
hao walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na
kujeruhi kwa mapanga watoto wawili usiku wa kuamkialeo
Endelea kufatilia mtandao huu na muda si mrefu tutawaletea taarifa Kamili.
Hakuna maoni: