Kupitia mtandao wa Facebook katika pitapita zangu nimekutana na Picha hii ambayo imeandikwa maneno haya!…”NIPE MAIKI NATAKA NISEME” KAMPENI. Na maandishi kwa upande wa chini wa nembo hiyo kuna maandishi ya kiingereza “GIVE ME MIC I WANT TO SAY” CAMPAIN. Nimeona nikuwekee hapa mdau nawe uitazame hii….
Picha ya siku: Baada ya M4C sasa Chadema wamekuja na Hii…

Hakuna maoni: