Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» »Unlabelled » SOKO HILI KUU MJINI NGARA MPAKA LINI..??Laelezwa halina hadhi kulingana na Mahitaji ya Wananchi na Mabadiliko ya hali ya Hewa.

Mohamed Ramadhani








Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera imeshauriwa kutafuta fedha kupitia Vyanzo vya Mapato ya ndani kuboresha Soko la mjini Ngara lenye matulubali yaliyochanika baada ya kuachwa na Wakimbizi raia wa Burundi mwaka 2006.


Mkuu wa wilaya ya Ngara,Bi. Honoratha Chitanda ametoa wito huo hivi karibuni katika Mkutano wake na Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Ngara na kwamba soko hilo halina hadhi kulingana na mahitaji ya Wananchi na mabadiliko ya hali ya hewa.
Soko hilo ndo hilo kama linavyoonekana kwenye picha. POLE SANA MAKONDA, KARIBU KAHAMA waambie wafanyabiashara wa huko waje kahama soko letu jipya ila kuhamia hawataki..



About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply