Usiku wa Roma na Kilimanjaro Twist , Show Itakayofanyika siku ya Ijumaa Tarehe 20 Mwezi Huu Wa Tano Katika ukumbi Wa CLUBU MASAI Kahana. Show Hiyo Imedhaminiwa na Kampuni Ya Vinywji Ya T . B . L , Kupitia kinywaji Chake Cha KILIMANJARO TWIST . Show Itaanza Saa Mbili Usiku Na Kiingilio Itakua Shilingi elf Sita Wakati Huo Utapatiwa Bia Moja Ya KILIMANJARO TWIST. Uongozi Wa CLUB MASAI kahama Umeishukuru Kampuni Ya T.B.L , Kwa Kuipa ushirikiano Katika Mchakato Mzima. KAHAMA YETU BLOG tunawatakia event njema Na Tutajitahidi Kuwaletea Taarifa Zaidi kuhusiana Na Hiyo Show. Shukurani Zikufikie Meneja Wa club masai Kahama NIKO MWAMBA. BY mc Blogger .
Hakuna maoni: