Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John mogella pia ni kaimu mkuu wa mkoa Shinyanga akitoa maelekezo ya kucheleshwa kwa Makao Makuu ya Halmashauri ya msalala kwenye kikao cha baraza la Madiwani |
Muweka hazina wa Halmashauri ya Msalala akitoa maelekezo ya Mkanguzi wa mkuu wa hesabu za serikali CAG katika ukumbi wa Halmashauri ya msalala mbele ya kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mogella |
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya msalala wakisikiliza Maelekezo toka kwa kaimu mkuu wa Mkoa wa Shinyanga John Mongella |
Mkanguzi wa Ndani wa Halmashauri ya msalala akisoma Tarifa ya Ndani ya hesabu mbele ya kaimu mkuu wa mkoa wa shinyanga John Mogella |
Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama ya wilaya ya kahama wakisikiliza agizo la kaimu mkuu wa mkoa wa shinyanga juu ya kuharakishwaji wa kuhaza kwa makao makuu ya Halmashauri ya msalala |
Hakuna maoni: