Wakili wa China aliyevuliwa nguo
Mawakili wengi wa China wamenyanyaswa,kukamatwa na hata kufungwa jela lakini picha ya mmoja wao aliyekuwa na nguo zake zilizovuliwa na maafisa wa polisi imevutia hisia nyingi nchini China.
Wu Liangshu alikuwa katika mahakama ya wilaya ya Qingxiu akiwa amevalia koti lake na suruali ya ndani ikionekana.
Yeye na mawakili wengine waliambia maafisa wa mahakama kwamba alishambuliwa na maafisa watatu wa polisi katika mahakama moja mbele ya majaji mawili ambao walikataa ombi lake la kutaka kuanzisha kesi katika mahakama ya wilaya ya Nanning Mkoani Guangxi.
Bw Wu alipewa nguo nyingine lakini alijua uwezo wa kile alichokuwa akipanga kukifanya.''Asante alisema''.
Wakili huyo baadaye alitembea kupitia mlango wa mbele akiwa amebeba nakala zake za mahakamani akiwa na kalamu iliowekwa katika mfuko wa shati lilipasuliwa.
Baadaye alipigwa picha nje ya jengo hilo la mahakama.
Home
»
»Unlabelled
» Wakili Apigwa na Kuchaniwa Nguo Mahakamani
Topics:
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni: