Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na
kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko.
Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono.
Msikilize:
Unknown Jumatano, 4 Januari 2017 0 No comments
Topics: habari
| Designed by BIKENGE
Hakuna maoni: