Msanii
wa vichekesho aliyejipatia umaarufu mkubwa kwa mtindo wake wa
uchekeshaji akiigiza kama mlevi, Chrispine Lyogello, maarufu kama Masele
au Chapombe.
Mwishoni mwa wiki hii ameaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mchumba
wake, Specioza Malick iliyofungwa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya
Bikira Maria Consolata lililopo Mbezi Makabe jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashabiki walitoa maoni yao kuhusu ndoa yao na kumshauri
Mrembo huyo ajitayarishe kucheka zaidi na wakati huohuo awe na ubavu wa
kutenganisha kazi ya Masele na maisha halisi.
Muigizaji Masele, amekuwa msanii wa kwanza kufunga ndoa ndani ya mwaka 2017.
Hakuna maoni: