Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» » Ni AY ndiye aliyenibakisha kwenye tasnia ya burudani, nilikuwa bandarini huko – Sallam

 
Sallam ambaye ameonyesha uwezo mkubwa katika jukumu la kumsimamia Diamond, alikuwa akijihusisha na biashara ya magari bandarini.
“Ni AY ndiye aliyenibakisha kwenye tasnia ya Burudani nilikuwa zangu huko bandarini na shughuli zangu huko,” Sallam alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM.
Mapema mwaka 2016 Sallam alieleza furaha yake ya kufanya kazi na legendary ‘AY’ katika ukurasa wake wa Instagram huku AY akitupia comments zake juu ya meneja huyo mpya.

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply