Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» » » Alichokiandika Naibu waziri wa Afya Kigwangala kuhusu Perfume za Diamond


Zikiwa ni saa zaidi ya 48 toka Diamond atoe manukato yake aliyoyaita Chibu Perfume,tayari kuna baadhi ya viongozi wa serikali wameanza kutoa comment zao juu ya manukato hayo yaliyozinduliwa Ijumaa iliyopita kwenye mall ya GSM iliyoko Pugu Road jijini Dar es salaam.
Kwenye watu walioamua kutoa ya moyoni ni pamoja na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Hamis Kigwangala ambaye amesema>>’Sikuwahi kuwa mshabiki wa msanii huyu kijana @diamondplatnumz, kama nilivyosema hapo nyuma kidogo, japokuwa nimekuwa nikifuatilia na ku-enjoy muziki wake’
‘Ila toka nimeanza kumfuatilia nimegundua kuwa, this young man is not only a good entertainer, but also a talented entrepreneur and businessman. He does business in music, he does a business of entertainment. Sasa naona kupitia kipaji chake cha ujasiriamali, naona ameamua kuwa muwekezaji, an investor! This is incredible’
‘Keep stepping up your game son, that’s the way to do it! Hakika wewe umetoka #NjeYaBox, na Mungu akuongoze ubaki huko huko juu, usishuke! I wish wasanii wenzako pia watoke nje ya box kifikra, wafanye biashara kwenye vipaji vyao, wageuze changamoto kuwa fursa, waache kulalamika, wapige kazi tu! #HapaKaziTu!’
‘Kwa sababu nyie watu mashuhuri mkigeuza crowds zenu kama chanzo cha solo la bidhaa zenu, kwa hakika mtafanikiwa sana! Changamoto kwenu wadogo zangu…#chibudangote#chibu #diamondplatnumz

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply