PICHA ya Nusu Utupu ya ‘Ben Pol’ Yachafua Hali ya Hewa Mtandaoni..!!!
Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amejikuta akizua minong’ono kwa mashabiki
wake na watanzania kiujumla baada ya kuposti picha akiwa nusu utupu
kwenye ukurasa wake wa Instagram .
Kwenye picha hiyo Ben Pol hakuweka maneno yoyote yale lakini alionekana amefungwa na kamba kama mtu aliyetekwa.
Picha hiyo iliyowekwa jana usiku mpaka sasa ina maelfu ya likes na Maoni
kibao ya mashabiki wake wengi wakionekana kukerwa na kitendo hicho.
Pitia maoni ya wadau hapa chini
Hakuna maoni: