Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» »Unlabelled » Jamaa apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya MACHAFU baada ya kunaswa akiwa amevaa sare za jeshi ( JWTZ)

Picha unazoona sio utani wala sinema, ni raia wa kawaida akiogelea kwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi.
 
Raia huyo alikutana na adhabu kali za mwanajeshi huyo baada ya kukutwa amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam.
mbizi
 
Jamaa huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha akaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari ..

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply