Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» »Unlabelled » Mwanaume Atiwa Mbaroni baada ya kukutwa akifanya Mapenzi na Kondoo


Mtu mmoja mkazi  wa  Kiamaina, Nakuru amekamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na kondoo. 
 
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la John Chege mwenye umri wa miaka 27, ambaye ni fundi wa kukarabati mabomba ya maji katika eneo hilo amekiri kufanya kosa hilo japo amelalamika kuwa mama yake mzazi amehusika kumuandalia mtego wa kumkamata akifanya kitendo hicho kwa lengo la kumuaibisha.
 
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa watu walioshuhudia kitendo hicho wamesema mtu huyo alitumia dawa za kulevya kabla ya kufanya kitendo hicho.
 
Kamanda wa Polisi  Moses Lekakeny amesema mtuhumiwa huyo atafanyiwa uchunguzi wa kina na upelelezi ukikamilika atafikishwa mahakamani.

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply