Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» » » MMILIKI WA MALUNDE1 BLOG KADAMA MALUNDE AKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI SHINYANGA

Mmiliki wa MALUNDE1 BLOG ambaye ni mwenyekiti wa waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga Kadama Malunde amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akitekeleza majukumu yake kwenye tukio la Wananchi kufunga barabara mjini Shinyanga.

Tukio hilo limetokea asubuhi hii katika mtaa wa Magadula Nkokolo Manispaa ya Shinyanga ambapo wananchi waliamua kufunga barabara inayotoka hospitali ya rufaa mkoani Shinyangakuelekea gereji ya Mohamed Trans, kutokana na kuchoshwa na vumbi kali linalotokea pindi magari yanapopita katika barabara hiyo.

Vumbi hilo kali linatokana na ujenzi wa muda mrefu wa barabara hiyo amabapo miezi sita iliyopita mkandarasi alichanganya mchanga na simenti na kumwaga katika barabara hiyo kasha kuitelekeza na hivyo kusababisha vumbi kali kupita linaloathiri shughuli na afya za wakazi wa eneo hilo…

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply