Katika
hali isiyokuwa ya kawaida mkazi wa Katoro Mkoani Geita Makelemo Daud
(35) amejiunguza kwa moto mwili mzima baada ya kuota ndoto kuwa
amemfumania mke wake akifanya tendo la ndoa na Jirani Yake.
Makelemo
amedai kuwa usiku wa kuamkia jana akiwa amelala katika nyumba ya wageni
iitwayo Choma Majani ya kijiji cha bukombe wilayani bukombe mkoani
geita aliota ndoto wakati akitokea nzega kuwa amemfumania mke wake huyo
Aliji
funika godoro na kuliwasha moto ili kuepuka fedheha alizokuwa
amezipata, amedai kuwa baada ya kuona maumivu makali alipiga kelele na
wenye nyumba hiyo walikuja kumuokoa na hatimaye kumfikisha katik
ahospitali ya wilayani bukombe ambapo anahudumiwa hivi sasa
Redio kahama fm imepiga hodi katika hospitali hiyo wodi namba tano na
kumkuta mtu huyo makelemo akiwa ameungua mwili mzima huku akidai kuwa
japokuwa ameungua mwili mzima lakini hali yake hivi sasa inaendelea
vizuri.
Home
»
»Unlabelled
» KAHAMA YETU;MAKUBWA HAYA..!! JAMAA AJILIPUA MOTO AKIWA AMELALA BAADA YA KUOTA AMEMFUMANIA MKEWE AKIFANYA MAPENZI NA JIRANI YAKE
Topics:
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni: