Wajameni mimi sijui mshamba au ndo kupitwa na mambo , hivi hii staili
ya kuvaa sketi kwa wanaume ndio fashion sasahivi ama? Jana Diamond
aliingia na sketi hiyo hapo juu ….nikabaki midomo wazi……Je ni sawa?
Kisketi cha DIAMOND chawaacha watu Midomo wazi…!!

Hakuna maoni: