Chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity
Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy
wake.Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita
Amani ambae amecheza filamu ya Ngema na nyinginezo alisema” Maisha tu
haya ila kiukweli rafiki yangu alinifanyia kitu kibaya kwa kunichoma kwa
boyfriend wangu ambae ilibidi anioe naamini hakuna binadamu
aliyekamilika” Alisema Amina
Aibu! Msanii Wa Bongo Movies afumaniwa na mpenzi wake akiliwa URODA na njemba mwingine…!!

Hakuna maoni: