PICHANI JUU NI MUIGIZAJI MKONGE KWENYE TASNIA YA FILAM MAARUFU KAMA BAD BOY.
Wakati mji wa Kahama unazidi kukua kwa kasi hususani uchumi ,Maendeleo upande wa sanaa nayo yanazidi shika kasi kutokana na kutambua umuhimu wa sanaa diwani kata ya Nyasubi Leonard Mayara, amewatia moyo wasanii hao kwa kuwaambia wasikate tamaa kwani mafanikio yanakuja.aliongea diwani alipohudhulia mazoezi ya kuigiza katika ukumbi wa Samanga D yanapofanyika mazozi hayo.Vijana mbalimbali wamejitokeza kushiriki kwenye mazoezi hayo kwa ajili ya kutengeneza filam itakayo fanyika hapahapa mjini Kahama. Filam hiyo inategema kushirikisha wasanii mbalimbali maarufu wa Bongo move.KAZI KWENU WASANII WA KAHAMA
Hakuna maoni: