MADEREVA WA MABASI KUTOKA KAHAMA KWENDA MIKOANI KUPITIA SINGIDA WAGOMA, ABIRIA WAKWAMA KWA SAA 3.
MADEREVA WA MABASI YAENDAYO DAR KUTOKEA KAHAMA WAMEFANYA MGOMO WA MASAA 3,KUPINGA FAINI ZISIZO ZA MSINGI KUTOKA KWA ASKARI WA BARABARANI ,HATA HIVYO MGOMO HUO ULIMALIZIKA KWA MADEREVA HAO KUWEKANA SAWA NA ASKARI HAO.

Hakuna maoni: