Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» »Unlabelled » MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE ANUSULIKA KUBWAKWA NA MJOMBA WAKE

Mwafunzi wa kidato cha nne shule ya Nyanhimbi sec,Halima bakhari mwenye umri wa miaka 18 amenusulika kubakwa na mjomba wake usiku wa jana mnamo saa tano usiku,tukio hilo lilitoke mtaa wa Majengo Kahama  maarufu kama kwa Mseveni,akiongea na kahama matukio blog,mwanyekiti wa mtaa wa Majengo ambae ndio Mseveni mwanyewe alidaikweli Halima alinusulika kubakwa na mjomba wake usiku wa jana,baada ya kumzidi nguvu mjombawake huyo kutokana kwamba alikua amelewa aliweza kukimbilia kwa mwenyekiti ambapo alilala mpaka asubuhi.Kahama matukio tuliweza kutafuta mwenyekiti nakumuuliza kuhusiana na tukio hilo,alidai kuwepo kwa hilo tukio na amejalibu kumtafuta mjomba lakini mjomba huyo hakuweza kuitikia wito hivyo ameamua kulipeleka swala hilo katika kituo kikuu cha polisi wilaya Kahama.mashuhuda walio kuwepo waliiambia Kahama matukio kua si malayakwanza kwa mwanafunzi Halima kutishiwa kubwakwa walidaikua ilisha wahi kutokea siku za nyuma nakupelekea Halima kunywa sumu ambapo aliokolewa na majirani,inasemekana kua Halima alianza kulelewa na mjomba wake tangu akiwa darasa la kwanza mpaka sasa kidato cha nne.mpaka tunaondoka eneo la tukio mjomba haja onekana.Kahama matukio tunazidi fatilia kinacho endelea.

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply