
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu kahamayetu@gmail.com au namba0715 640 443 .
JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limelazimika kutumia mabomu
ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogo (wamachinga) waliokuwa wanapinga
kuondolewa katika eneo la Kempu na eneo la soko la Makoroboi jijini humo.Aidha,
hatua hiyo imesababisha vurugu na kusimamishwa kwa shughuli mbalimbali za
kijamii, ikiwemo kufungwa kwa maduka hadi katikati ya eneo la jiji na baadhi ya
huduma ya usafiri kukosekana kwa muda katika barabara zinazokatiza katikati ya
jiji hilo, ambapo kuanzia nne asubuhi hadi tunaenda hewani.
Hakuna maoni: