Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» »Unlabelled » NYUMBA YAUNGUA: KAHAMA MAJENGO KWAMSEVENI

NYUMBA INAYOFAHAMIKA KAMA YA MAMA ERICK ,MITAA YA MAJENGO MAARUFU KAMA KWA MSEVENI IMETEKETEA KWA MOTO MAJIRA YA SAA TISA MCHANA,INGAWA CHANZO BADO HAKIJAFAHAMIKA LAKINI KWAMUJIBU WA MAJIRANI WANADAI KUA CHANZO KIMETOKANA SHOT YA UMEME ,HAKUNA TAARIFA YA KIFO CHOCHOTE .

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply