Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» »Unlabelled » UZINDUZI WA ALBMU MPYA YA NAINUA MIKONO YANGU JUU FROLA KITULO MJINI KAHAMA KATIKA VIWANJA VYA NAZARETH CHURCH EAGT



 NEMBO YA KANISA LA EAGT MJINI KAHAMA
 MUIMBAJI WA NYIMBO ZA IJILI FROLA KITULO AKINGIA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT KATIKA UZINDUZI WA ALBMU YA NAINUA MIKONO YANGU JUU
 MUIMBAJI FROLA KITULO AKIWA JUKWAANI KATIKA UZINDUZI WA ALBMU YAKE MPYA YA NAINUA MIKONO YANGU JUU MJINI KAHAMA LEO
 MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BENSON MPESYA AKIWA NA MCHUNGAJI MWENYEJI REV PAULO M BUSUNGU WAKATI WA UTAMBULISHO WA ALBMU MPYA FROLA KITULO MJINI KAHAMA
 MUIMBAJI WA NYIMBO ZA IJILI  FROLA KITULO AKIWA JUKWAANI  AKIMBA WIMBO WAKE WA NAINUA MKONO YANGU  WAKATI WA UZINDUZI HUU
 MKUU WA WILAYA YA KAHA BENSON MPESYA AKIWA JUKWAANI NA WAIMBAJI WA  WA FROLA KITULO WAKATI WA UZINDUZI HUU KULIA MWENYE BLAUZI NYEUZI NI MUIMBAJI HUYO FROLA KITULO KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT MJINI KAHAMA
 MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BENSON MPESYA NA MCHUNGAJI MWENYEJI REV PAULO M BUSUNGU
 BAADHI YA WAAUMINI WAKIWA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT WAKATI WA UZINDUZI WA ALBMU YA NAINUA MKONO YANGU JUU  FROLA KITULO
 UMATI MKUBWA HULIFULIKA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT KATIKA UZINDUZI WA ALBMU YA NAINUA MIKONO YANGU JUU YA FROLA KITULO AMBAYE HAYUPO PICHANI
 MKUU WA WILAYA YA KAHAMA AKIKATA UTEPE WA UZINDUZI WA ALBMU YA FROLA KITULO YA NAINUA MIKONO YANGU JUU
 MKUU WA WILAYA YA KAHAMA ALIINUA MIKONO JUU KUASHIRIA UZINDUZI WA ALBMU YA FROLA KITULO
 MGENI RASM MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BENSON MPESYA AKIWA NA MWENJI WAKE MCHUNGAJI MWENYEJI REV PAULO M BUSUNGU KATIKA VIWANJA VYA KANISA HILO
 UMATI WA WAAUMINI WA KANISA LA EAGT WAKISHUNDIA UZINDUZI WA ALBMU YA NAINUA MIKONO YANGU JUU YA FROLA KITULO
 FROLA KITULO AKIWA JUKWAANI  NA WAAIMBAJI WAKE WAKATI WA UZINDUZI WA ALBMU YAKE MPYA YA NAINUA MIKONO YANGU JUU
 MSHERESHAJI AU MC TOKA JIJI MWANZA UPENDO WEJA WAKATI WA UZINDUZI WA ALBMU YA FROLA KITULO KATIKA VIWANJA VYA EAGT MJINI KAHAMA
 FROLA KITULO AKIWA JUKWAANI NA WAAIMBAJI WAKE WAKICHENZA NA KUIMBA NYIMBO ZAKE
BAADHI YA KWAYA MBALI MBALI ZISHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA ALBMU YA MPYA FROLA KITULO

Serikali wilayani kahama imesema kuwa waumini wanatakiwa kujitole katika mambo yanausu mambo ya mungu kuchangia mambo mbalimbali juu ya huduma ya mungu. 

hayo yalisemwa  na mkuu wa wilaya ya kahama benson mpesya katika uzinduzi wa albmu ya muimbaji frola kitulo katika viwanja vya eagt.

akiongea katika uzinduzi wa albmu hiyo mkuu wa wilaya alisema kuwa ni jambo la heshima kujitoa ni sandaka.

aidha  katika albmu hiyo frola akisoma risara hiyo alisema kuwa ni matatizo mengi moja wapo ni kukosa vyombo vya mziki vyenye  dhamani ya milioni kumi ambayo vitainua kutangaza neno la mungu.

akifafanua zaidi muimbaji huyo katika risara hiyo aliomba mkuu wa wilaya ya kahama katika ununuzi wa vyombo hiyo.

naye mkuu wa wilaya kahama aliadi kutoa shilingi milioni moja na alitoa shilingi laki moja hapokwa hapo kwa na waaumi walichangia mjula ya milioni 3 na hadi nyingi zaidi ya milioni 2  

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply