ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUSUMBUA WANA NCHI .
kijana anaye sadikiwa kuvunjwa mguu.
Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika amenusurika kufa baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali ,tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi matika mitaa ya soko la lumambo mjini Kahama,wakiongea na mwandishi wetu shuhuda wa tukio hilo wana dai kijana huyo amekua akiwafanyia fujo wapita njia hasa wa endesha bodaboda ,ingawa wanao mfahamu kijana huyo wanadai kua ana matatizo ya akili na wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kumpiga na kumvuja mguu kijana mmoja aliyekua kipita njaa, .
Hakuna maoni: