Tujiangalie sana unapopata na hasira kwa ajili ya mpenzi wako na kuchukua maamuzi magumu sana katika jambo ambalo limeshatendeka na hata ukifanya nini halitaweza kurudi, cha msingi ni kuangalia wapi mwenza wako kakosea na kama imeshindikana ni bora uachane naye kwa kheri kuliko kuaribiana maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma ila tujali utu kuliko kufanya unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina wa
pande za Nigeria aka Naija, ambaye alimwagiwa acid na mpenzi wake Mr. Ogba kutokana na wivu wa mapenzi, sasa jamaa alibahatika kukamatwa na kufungwa jela miaka kumi tangu mwaka 2010...Swali ni Je, miaka kumi na kumuaribu mwenzio namna hii vinaendana?
Home
»
»Unlabelled
» BINTI AMWAGIWA TINDIKALI KISA WIVU WA MAPENZI CHEKI ILIVYOKUWA
Topics:
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni: