Katika
hali hisiyo ya kawaida, mtoto mmoja ambaye jina lake halijafahaamika
ameanguka jana mchana kutoka juu ya jengo la ghorofa, ghorofa ya tano,
huko maeneo ya kota za jeshi, Mwenge Maghorofani..
Kwa
mujibu wa mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wameelezea kuwa, mtoto
huyo ameumia vibaya sehemu za kichwani na kutoka damu nyingi, ambapo
awali alikimbizwa hospitali ya Lugalo na baadaye amepelekwa Muhimbili.
kwa taarifa zaidi tutawaletea
Hakuna maoni: