Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza
waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Joseph Mungai katika Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 10,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na waombolezaji waliofika kuaga mwili wa Marehemu Joseph
Mungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 10,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais
Mstaafu awamu ya tatu Benjamin Mkapa pamoja na waombolezaji wengine
walipofika kuaga mwili wa Marehemu Joseph Mungai katika Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 10,2016
Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa salamu za serikali wakati wa
kuaga mwili wa Marehemu Joseph Mungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam Novemba 10,2016- Picha na IKULU
Share !
Topics:
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Hakuna maoni: