Miss Tanzania 2016, Diana Edward ameendelea kuonyesha mapenzi yake ya
kuendelea kuutangaza muziki wa Tanzania kwenye shindalo la Miss Wolrd
linalofanyika nchini Marekani.
Mrembo huyo amepost kipande cha video kwenye mtandao wa Instagram akiwa
na mamiss wengine wawili huku wakicheza wimbo wa ‘Muziki’ wa Darassa.
Siku chache zilizopita kupitia mtandao huo, Diana alipost kipande cha
video kinamuonesha akiwa na Miss Hondurus, Kerelyne Campigoti Webster na
Miss Mexico, Ana Girault wakiucheza wimbo wa Man Fongo, Hainaga
Ushemeji.
Kwa sasa mrembo huyo amefanikiwa kuingia fainali ya shindano la Beauty
With A Purpose ambalo ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwenye Miss
World ambalo fainali zake zitafanyika Disemba 18.
Home
»
burudani
» You are here: Home / burudani MISS Tanzania wa Mwaka Huu Sio Mtu wa Mchezo Mchezo..Ona Alichowafanyia Wazungu na Huu Wimbo wa Darasa
Topics: burudani
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

Hakuna maoni: