Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum
Njwete ‘Scorpion’ imeendelea katika mahakama ya wilaya ya Ilala wakati
shauri hilo lilipoletwa kwa ajili ya kusikilizwa.
Wakati mshitakiwa akipandishwa kizimbani alidai ana wakili wake hivyo
mahakama ilisubiri kwa muda wakili wa mshitakiwa Juma Nassoro na baada
ya kufika mahakamani ndio kesi ilianza kusikilizwa.
Kesi hiyo ina mashahidi sita na mpaka sasa ameshasikilizwa mmoja ambaye
ni shahidi namba moja Said Mrisho ‘aliyetobolewa macho’ ambaye leo
December 14 2016 ametoa ushahidi wake mahakamani hapo akielezea tukio
alilofanyiwa.
Baada ya kusikiliza kesi, mahakama hiyo imeahirisha shauri hilo hadi
December 28 mwaka huu ambapo itaendelea na shahidi wa pili.
Home
»
habari
» You are here: Home / habarimbalimbali Aliyetobolewa Macho Uso Kwa Uso na Scorpion Mahakamani
Topics: habari
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni: