PCK ameendelea kusema kuwa yeye hafanyi mziki njaa ila HARMONIZE angemuomba angemtungia mashairi mazuri tu!!!! na mbona nimewatungia wasanii wengi na nyimbo zikawa hit song na mfano kwa hit song niliyoitunga ilikuwa ni nyimbo ya mziki wa Darasa na mbona Darassa sijamfuatilia!! ni kwakuwa tumeelewana kabla ya kutoa nyimbo na Darassa alipoulizwa kuhusu hilo, alikiri ni kweli PCK ni mtu ambaye ana uwezo mkubwa wa kutunga nyimbo za kila aina.....!!!!
HAYA SASA MLIOKUWA MNASEMA KUWA PCK ANATAFUTA KIKI .....sasa mmejionea yaliyojiri? au mtasema tena HARMONIZE amekubali ili ampe kiki PCK???? WCB KWISHNEY
Hakuna maoni: