Hatimae yale mapenzi ya Wolper na mpenzi wake Harmonize kuisha, na huyo kwenye picha ni mpenzi wake mwingine mzungu anaitwa Sarah na inasemekana ni mjamzito tayari, ana mimba ya harmonize na huyo pembeni ni mama mkwe wa Harmonize yaani mama yake na Sarah...!!!
Inasemekana pia huyo mpenzi mpya wa Harmonize anamjengea bonge la ghorofa kule madale
Topics: burudani
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni: