Tazama Video:
VIDEO:Kijana Mwingine Ajitokeza na Kudai Yeye na Harmorapa ni Ndugu...Amekuja Dar Kumtafuta
Kijana mmoja aliyesema anaitwa Frank Omary amesafiri kutoka Iringa kuja
Dar kumtafuta Harmorappa mna kudai yeye ni ndugu yake mama yake
amemwambi ni wa baba mmoja, ameacha na namba zake akitaka Harmorapa
amtafute akiona ujumbe wake mtandaoni

Hakuna maoni: