Header ads

Header ads
CLUB MASAI KAHAMA
» » JAJI MWINGINE WA MAHAKAMA KUU AJIUZULU WADHIFA WAKE...RAIS MAGUFULI ARIDHIA

SeeBait

Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Mwendwa Judith Malecela amejiuzulu wadhifa wake huo kuanzia leo baada ya Rais Magufuli kukubaliana na ombi la jaji huyo aliyetaka kujiuzulu wadhifa wake.


Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu leo imedai kuwa Rais Magufuli amekubaliana na ombi la Jaji huyo hivyo kuanzia leo tarehe 20 Juni, 2017 Judith Malecela hatakuwa tena Jaji wa Mahakama Kuu. 

About Unknown

Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply