Mrembo wa haja anayejulikana mitandaoni kama Asmah Honey amejikuta
katika wakati mgumu baada ya ku andikwa kuwa yeye ni mdogo wa Zari na
anatoka kimapenzi na Mwanaume Mpenda kiki za Bure Patrick PCK , Honey
ametuhabarisha kuwa Ndugu zake na marafiki wanampigia simu kuhusu tuhuma
za kufumaniwa na kupigwa mawe na Irene Uwoya kitu ambacho kinamwaribia
CV yake.......
ASMA HONEY NI NANI?
Mrembo Asmah Honey Amewasiliana na sisi moja kwa moja na kudai kuwa yeye
ni Mnyaruada kwa kabila na kwasasa anaishi Burundi, Amesema Tanzania
Huwa anakuja tu kwa ajili ya kufanya biashara zake
KUHUSISHWA NA ZARI HASSAN
Asmah anadai mwenyewe haelewi kwanini watu wanamwita mdogo wake na Zari
Kwani Hawana udungu wowote na Mama watoto huyo wa Diamond kutoka Uganda,
Mtandao mmoja mkubwa Bongo ulitoa habari yenye kichwa cha Habari
kinachosema 'Uwoya Amfanyia Kitu Kibaya Mdogo wake Zari " Kitu ambacho si Kweli, Mwenyewe Adai hata Zari Hajawahi kumuona Live zaidi ya Kwenye Mitandao..
KUTOKA KIMAPENZI NA PATRICK PCK
Asmah Honey amedai hizo ni kiki tu anazotafuta Mwanaume huyo kwani
hajawahi toka nae kimapenzi zaidi ya kumsikia tu , Adai huyo Mwanaume
hivi karibuni amekuwa akitumia wasichana tofauti kwa ajili ya
kujitafutia Kiki magazetini na mitandoani
Ikumbukwe mwanaume huyo ameshaandikwa pia kuwa anatoka na Irene Uwoya na Mrembo Mwingine anayeitwa Kibonge Sexy
WOLPER KUMFUMA NA PCK NA KUMRISHIA MAWE
Mwenyewe amedai habari hiyo iliyoandikwa na mtandao mmoja mkubwa Bongo
sio ya Kweli kwani yeye tarehe hizo zilizoandikwa kuwa alifumaniwa
hakuwepo Tanzania , Asmah Pia amekana kumfahamu Irene Uwoya kama mke
Mwenza Kwa PCK na Kudai anamuona tu mitandan
Home
»
burudani
»
habari
» MREMBO Anayesemakana ni Mdogo wa Zari (Asmah Honey) Awakana Zari , Patrick PCK na Irene Uwoya
About Unknown
Kwa jina Naitwa MWEUSI waweza wasiliana nami namba 0757420837, 0629208856 au email: timotheosodoka@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni: