Msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ameipa ten heshima kubwa
bendera ya Tanzania kwa kuwa kwenye kipengele cha msanii bora wa
Kimataifa [Best International Act ], Hii na hatua kubwa kwa Diamond
baada ya siku chache tu nyuma alitangazwa kwenye tuzo za MTV Base (Mama
Awards).
Diamond Platnumz kwenye kipengele hichi cha tuzo kubwa za
Television kubwa ya burudani Marekani ya BET yupo kama Best
International Act Africa na anawania tuzo hii na wasanii Davido kutoka
Nigeria, Mafikizolo kutoka South Africa, Tiwa Savage kutoka Nigeria,
Toofan na Sarkodie kutoka Ghana.
BET imetumia twitter kutoa hii taarifa kama kuthibitisha uchaguzi
wa Diamond na kuumpa hongera kama msanii pekee Africa Mashariki.
Hakuna maoni: