Msanii Mrusi
aliyecheza katika filamu mashuhuri ya 'Burnt by the Sun 2', amepoteza
uume wake baada ya kujikata akitaka kuwa mwanamke.
Kikubwa kilichomfanya msanii huyo Evgniv Sapaev kujitaka sehemu zake za siri ni kwamba alitaka sana kuwa mwanamke.
Mwanamume
huyo alionekana akitoka nje ya nyumba yake huku damu ikimwagika kutoka
kwa sehemu zake nyeti kufuatia upasuaji aliojifanyia mwenyewe.
Msanii huyo
mwenye umri wa miaka 38 ambaye nyota yake ilikuwa inang'ara sana
alikimbizwa hospitalini kwa huduma ya dharura kwa hofu ya hali yake kuwa
mbaya .
Madaktari walijaribu kumshona lakini hawakufanikiwa katika juhudi zao za kumrejeshea mwanamume huyo uume wake.
Afisa mmoja
hospitalini ambako muigizaji huyo alipokea matibabu alisema alikuwa na
bahati sana kuponea kwani alivuja damu nyingi na kwamba angepoteza muda
kidogo tu angefariki.
Kwa mujibu
wa jarida la Mirror, jirani ya Evgniv Sapaev, Arkhip Tikhonov mwenye
umri wa miaka 57 alishtuka sana alipombishia mlango na kujionea hali
yake akiwa tayari ameanza kudhoofika kwani alikuwa amepoteza damu nyingi
sana.
''Alionekana
akitisha sana akiwa na damu mikononi mwake huku akishika sehemu yake ya
uuma ambayo alikuwa ameikata. Nilidhani alikuwa anafanya mazoezi ya
uigizaji, lakini alipozirai mlangoni huku akiwa ameshika sehemu yake ya
siri mkooni ndipo nilipogudnua kuwa mambo yalikuwa mbaya,'' alisema
jirani wa Evgniv
Baada yua kupata nafuu mwathiriwa alinukuliwa akisema, ''tangu niwe mtoto mdogo nimekuwa nikijihisi kuwa mwanamke.
Nilijaribu mara nne kukata nyeti zangu lakini wakati wote sikuwa na ujasiri wa kufanya hivyo.
Lakini wakati huu niliweza kufanya hivyo baada ya kumeza tembe za kuzuia maumivu, na kujitaka kwa kutumia kisu.
Badhi walimkosoa msanii huyo kuwa kujikata sehemu zake za isiri badala ya kwenda hospitalini kwa upasuaji
Hakuna maoni: