Eneo la shule |
Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu mwenye kofia na nyuma yake ni Mwenyekiti wa halmashauri ya ushetu juma kimisha wakati wa uzinduzi wa vifaa vya moto katika shule ya Sekondari ya Dakama |
Mkuu wa wilaya Fadhiri Nkurlu Akitoa maelenzo juu ya vifaa vya majanga ya moto katika mabweni ya shule |
Moja ya Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Dakama Akionyesha jinsi ya kuzim,a moto kwa kumia vifaa maalum katika kuzima moto shule hapo Dakama |
Mkuu wa kikosi cha zimamoto wilaya kahama Mwenye kofia INSP FRENK Elophazy akiwa na mitungi ya kusimia moto huku msaidizi wake Muhaji Mmanga wakiandaa vifaa vya kuonyesha wanafunzi wa shule ya Dakama |
Mkuu wa kikosi cha Zimamoto kahama INSP FRENK Elophazy akitoa maelezo juu ya kujikinga na majanga moto endapo moto utawaka . |
Mkuu wa wilaya FADHILI NKURLU Akionyesha jinsi ya moto unaweza kuzimwa kwa haraka kama vifaa vipo karibu |
Mkuu wa wilaya wakifurahi jinsi ya kuweza kudhibithi moto kwa haraka akiwa na wanafunzi wa shule ya sekondari Dakama |
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dakama wakiwa na Furaha baada ya kuona vifaa hivyo . |
Moja ya Mabweni ya wanafunzi wa kike |
Hii ndiyo kifaa cha kisasa cha kutambua kama kuna hatari ya Moto katika Mabweni ambapo moto unaweza kudhibithiwa kwa haraka |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu juma kimisha akiwa na mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu kukangua eneo la shule hiyo. |
Hakuna maoni: